Na Avila Kakingo, Globu ya Jamii.
KAMPUNI
 ya Husea imeadhimisha mwaka mmoja tangu kuazishwa kwake Machi mwaka huu
 kwa kutoa msaada wa vifaa vya hospitali na kuwapa zawadi akinamama 
waliojifungua leo katika hospitali ya Palestina Sinza jijini Dar es 
Salaam.
 Baadhi
 ya wazazi wakiwa wamewapakata watoto waliojifungua leo mara baada ya 
kupata zawadi na kampuni ya Husea jijini Dar es Salaam leo.


  Mkurugenzi
 Mtendaji wa Kampuni ya Husea, Pamela Maro akimkabidhi Daktari Mkuu wa 
Hospitali ya Palestina Sinza, Dkt. Wandi Kariame  aadhi ya vifaa 
vinavyotumika katika uzalishaji katika wodi la wazazi katika hospitali 
ya Palestina Sinza jijini Dar es Salaam leo.Kushoto ni Muuguzi katika wodi ya wazazi katika hospitali Palestina Sinza.










No comments:
Post a Comment