Meneja 
Mawasiliano wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Innocent Mungy 
akitoa mada kuhusu huduma mbalimbali za TeknolojiA ya mawasiliano kwa 
njia ya mitandano  kwenye kikao kazi cha maafisa habari na mawasiliano 
serikalini katika ukumbi wa VETA mkoani Morogoro leo Machi 17, 2016.
 
Afisa 
kutoka kampuni ya Push Mobile Bi. Patricia Michael akitoa mada kuhusu 
huduma mpya ya upashaji habari kwa njia ya simu za mkononi iitwayo SIMU 
TV kwenye kikao kazi cha maafisa habari na mawasiliano serikalini katika
 ukumbi wa VETA mkoani Morogoro leo Machi 17, 2016 .
Meneja wa
 mawasiliano na uhusiano wa Umma wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA), 
Bi. Gaudensia Simwanza    akipokea  zawadi baada ya kufaulu maswali 
kutoka kwa Mwezeshaji kutoka Uongozi Institute, Bi Joy Nyabongo katika 
kikao kazi cha maafisa Habari na Mawasiliano  Serikalini ukumnbi wa VETA
 mjini Morogoro .
Afisa 
kutoka kampuni ya Push Mobile Bw. Abdi Zagar  akitoa mada kuhusu huduma 
mpya ya upashaji habari kwa njia ya simu za mkononi iitwayo SIMU TV 
kwenye kikao kazi cha maafisa habari na mawasiliano serikalini katika 
ukumbi wa VETA mkoani Morogoro leo Machi 17, 2016.
Mamlaka 
ya Udhibiti wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) Bi. Sarah Kibonde 
akitoa mada kuhusu mamlaka hiyo kwenye kikao kazi cha maafisa habari na 
mawasiliano serikalini katika ukumbi wa VETA mkoani Morogoro leo Machi 
17, 2016. 


No comments:
Post a Comment