Baadhi
 ya Waandishi wa Habari wakifuatilia tukio hilo la Kampuni ya 
Zantel kukabidhi msaada wa kompyuta tatu na intaneti bure kwa mwaka 
mzima kwa kituo cha Mkubwa na Wanawe
Tangukuanzishwa kwake, Mkubwa na  Wanaweimefanikiwa kuibua wasanii mbalimbali kama vile Wanaume TMK na bendi ya Yamoto.‘KamaMkubwa na Wanawe tumejikita katika kujenga na kuhakikisha vijana wanatimiza ndotozao na pia kuwasaida wasishawishike au kujishuhulisha na shughuli haramu ambazozinapotosha maadili kwenye jamii kama vile uvutaji au suuzaji wa madawa yakulevya na wizi’ alimaliza Fella
No comments:
Post a Comment