TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Friday, March 18, 2016

BREKING NEWSSS: WABUNGE WA CUF WAJIVUA UBUNGE

CUF
Katika barua ambayo inaonekana kusainiwa na Naibu Katibu Mkuu wa CUF aliyetajwa kwa jina la Ahmed Nassor Mazrui na kusambazwa kwa wanahabari leo Machi 18,2016, imeeleza kuwa wabunge wote wa Chama cha Wananchi (CUF) wamejiondoa katika Bunge la Tanzania katika kipindi cha 2015-2020 kwa kile kinachotajwa kama kukiukwa kwa sheria za uchaguzi na kuporwa haki katika uchaguzi wa Zanzibar.

Taarifa hiyo inaonekana kutofautiana na jina la katibu mkuu wa chama hicho ambaye anajulikana kwa jina la Nassor Ahmed Mazrui. 

Chini ni nakala ya barua ambayo imesambawa....
Baada ya muda Mfupi Ndg Ismail Jussa ameweza kuikanusha Barua hiyo kwa kuandika ujumbe huu kupitia Akaunti yake ya Facebook.

No comments:

Post a Comment