UMOJA WA VYAMA VYA SIASA VISIVYO NA UWAKILISHI BUNGENI VYATOA TAMKO LA KUSHIRIKI UCHAGUZI WA MAREJEO ZANZIBAR. 
 Mwenyekiti
 wa Makatibu wa  Umoja wa Vyama visivyo na uwakilishi Bungeni, ambae pia
 ni Katibu wa Chama cha SAU, Ali Kaniki  akizungumza na wandishi wa 
Habari katika ukumbi wa Studio ya kurikodia Rahaleo kuhusu kushiriki 
uchaguzi wa marejeo wa Zanzibar tarehe 20 mwezi huu.
Vyama vitakavyoshiriki katika marudiao ya uchaguzi huo ni DP,CCK, AFP, DEMOKRASIA MAKINI , SAU, TLP, UPDP, UMD, ADC, NRA, TADEA NA CHAUMMA. 
 
 
 
 
 
          
      
 
  
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment