Meneja wa kinywaji cha Guinness kutoka kampuni ya bia ya Serengeti akikabidhi hati ya kusafiria kwa Lukwesa Kanakamfumu, mmoja wa washiriki wa Guinness Football Challenge washiriki wa shindano hilo wanatarajiwa kuondoka mwishoni mwa wiki hii kuelekea Afrika Kusini |
Wakiwa
katika picha ya pamoja meneja wa kinywaji cha Guinness Davis
Kambi(katikati) na washiriki wa Guinness Football Challenge baada ya
kupokea hati zao za kusafiria
Mratibu
wa safari Bi. Caroline akitoa maelekezo na taratibu za safari kwa
washiriki waliofuzu kuingia katika mashindano ya Guinness Football
Challenge wanaotarajiwa kusafiri karibuni.
No comments:
Post a Comment