Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akitoa maelekezo kwa Waziri wa Ujenzi Dkt John
Pombe Magufuli, Waziri wa Maji Profesa Jumanne Maghembe na Waziri wa
Fedha Dkt William Mgimwa kabla hajahutubia Jumatatu mkutano mkubwa wa
hadhara mjini Nzega katika ziara yake ya siku nne ya mkoa wa Tabora
ambapo anazindua miradi kadhaa ya maendeleo ikiwemo barabara, daraja na
maji.
(PICHA NA IKULU)
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisikiliza maelezo ya Meneja wa TANESCO wa Nzega
akielezea mikakati ya kuwapatia wakazi wa hapo nishati hiyo
Jumatatu mkutano mkubwa wa hadhara mjini Nzega katika ziara yake ya siku
nne ya mkoa wa Tabora ambapo anazindua miradi kadhaa ya maendeleo
ikiwemo barabara, daraja na maji.
Umati wa wananchi ukiwa katika mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Rais Jakaya Kikwete mkoani Tabora
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipokea ripoti ya maendeleo ya Wilaya ya Uyui
toka kwa mkuu wa Wilaya hiyo Mhe Lucy Mayenga wakati Rais alipowasili
Tabora mjini kuendelea na ziara yake ya siku nne ya mkoa wa huo ambapo
anazindua miradi kadhaa ya maendeleo ikiwemo barabara, daraja na maji.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipokea ripoti ya maendeleo ya Wilaya ya Tabora
Mjini toka kwa mkuu wa Wilaya hiyo Mhe Suleiman Kumchaya wakati Rais
alipowasili Tabora mjini kuendelea na ziara yake ya siku nne ya mkoa wa
huo ambapo anazindua miradi kadhaa ya maendeleo ikiwemo barabara,
daraja na maji.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelzo ya ujenzi wa barabara ya
Tabora-Ndono kabla hajazindua rasmi i ujenzi wa barabara hiyo akiwa
katika ziara yake ya siku nne ya mkoa wa huo ambapo anazindua miradi
kadhaa ya maendeleo ikiwemo barabara, daraja na maji.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi ujenzi wa barabara
hiyo akiwa katika ziara yake ya siku nne ya mkoa wa huo ambapo
anazindua miradi kadhaa ya maendeleo ikiwemo barabara, daraja na maji.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia Jumatatu mkutano mkubwa wa hadhara
mjini Nzega katika ziara yake ya siku nne ya mkoa wa Tabora ambapo
anazindua miradi kadhaa ya maendeleo ikiwemo barabara, daraja na maji.
No comments:
Post a Comment