Mwenyekiti
wa Chama cha Kijamii (CCK), Constantine Makitanda akizungumza katika
mkutano uliofanyika katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam na
Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba mara baada ya Chama hicho
kuwasilisha maoni yao kuhusu Katiba Mpya leo (Jumanne Januari 8, 2013).
Katibu
wa Chama cha Union for Multiparty Democracy (UMD),Ndg. Juma
akizungumza wakati wa mkutano uliofanyika leo (Jumanne Januari 8, 2013)
baina ya Chama hicho na Tume ya Mabadiliko ya Katiba, ambapo Chama hicho
kiliwasilisha maoni yao kuhusu Katiba Mpya. Kulia ni Kulia ni
Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Joseph Warioba na Katibu wa Tume,Assaa
Rashid.
Baadhi
ya Viongozi wa Chama cha Union for Multiparty Democracy (UMD)
wakifuatilia mkutano baina yao na Tume ya Mabadiliko ya Katiba leo(
Jumanne Januari 8, 2013), ambapo Uongozi wa Chama hicho uliwasilisha
maoni ya Chama hicho kuhusu Katiba Mpya.
Katibu
Mkuu wa Chama cha Wakulima (AFP), Rashidi Mohamed akiwasilisha maoni
yao kuhusu Katiba kwa Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika
mkutano uliofanyika katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam leo
(Jumanne, Januari 8 2013).
Mjumbe
wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Mhe. Raza Hamad akizungumza katika
mkutano na Viongozi wa Chama cha Wakulima (AFP) uliofanyika katika
viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam wakati Chama hicho
kilipowasilisha maoni yao kuhusu Katiba Mpya leo (Jumanne Januari 8,
2013).
Mjumbe
wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dk. Salim Ahmed Salim akizungumza
katika mkutano na Viongozi wa Chama cha Kijamii (CCK) uliofanyika katika
Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam wakati Chama hicho
kilipowasilisha maoni yao kuhusu Katiba Mpya leo (jumanne Januari 8,
2013).
Mjumbe
Wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Ndg. Ussi Khamis akizungumza katika
mkutano na Viongozi wa Chama cha Kijamii (CCK) uliofanyika katika
Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam wakati Chama hicho
kilipowasilisha maoni yao kuhusu Katiba Mpya leo (jumanne Januari 8,
2013).
No comments:
Post a Comment