Makutano ya barabara ya kuingia Stendi ya Nyegezi mkoani Mwanza, kumetoa
ajali ya magari mda huu wa saa 5 asubuhi, ambapo lori(gari kubwa la
mizigo) limegonga kwa nyuma gari la PEPSI liliokuwa limebeba makreti ya
soda. Ona matukio katika picha:
wananchi mashuda wakiangalia ajali hiyo.

wananchi mashuda wakiangalia ajali hiyo.
![]() |
walivyogongana kwa nyuma. |
![]() |
Hivi ndivyo ajali ilivyotokea hapa Stendi Nyegezi. |
No comments:
Post a Comment