TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Saturday, March 7, 2015

Rais Jakaya azindua studio za Azam Media jijini Dar leo

AZ1Rais Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) akikata utepe kuzindua rasmi studio za kisasa za Azam Media jijini Dar es Salaam leo. Rais Kikwete alizindua studio hizo ambazo ni  za kisasa zaidi zilizowahi kufunguliwa katika nchi za Afrika Mashariki na Jangwa la Sahara zilizogharimu sh Bilioni 53. Wengine kutoka kushoto ni Naibu Ofisa Mtendaji Mkuu wa Azam Media, Tido Mhando, Waziri wa Habari, Utamaduni, Vijana na Michezo, Dk. Fenella Mukangara na Mwenyekiti Mtendaji wa  Makampuni ya Bakhresa, Said Salim Bakhresa.
AZ2Rais Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) akilakiwa na Naibu Ofisa Mtendaji Mkuu wa Azam Media, Tido Mhando alipokwenda kuzindua rasmi studio za Azam Media jijini Dar es Salaam leo. Katikati ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Azam Media, Rhys Torrington. AZ3Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa studio za Azam Media jijini Dar es Salaam leo. AZ4Ofisa Mtendaji Mkuu wa Azam Media, Rhys Torrington akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa studio za Azam Media jijini Dar es Salaam leo. AZ5Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa Habari, Utamaduni, Vijana na Michezo, Dk. Fenella Mukangara,  uongozi wa Azam Media pamoja na baadhi ya wageni waalikwa wakiangalia moja ya magari ya kurushia matangazo ya moja kwa moja baada ya uzinduzi rasmi wa studio za kampuni hiyo jijini Dar es Salaam leo. AZ6Wasanii wa muziki wa kizazi kipya, Barnaba (kushoto)na Mwansiti Alimasi wakimba wakati wa hafla ya  uzinduzi wa studio za Azam Media jijini Dar es Salaam leo.

No comments:

Post a Comment