TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Saturday, March 7, 2015

Tanesco na Helios Tower Tanzania wafanya warsha ya siku moja juu ya usambazaji wa Umeme

 
Eranus Thompson, Mkuu wa uendeshaji wa Kanda ya Dar Es Salaam na Pwani kutoka Kampuni ya Helios Tower Tanzania akizungumza jinsi Helios Tower wanavyoweza kusambaza umeme unaozalishwa na Tanesco wakati wa warsha ya siku moja na Wafanyakazi wa Shirika la Umeme la Tanzania (Tanesco) iliyofanyika leo katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwl Nyerere.
 Kaimu Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Usambazaji na Huduma kwa wateja kutoka Tanesco, Mhandisi Sophia Mgonja(mwenye nguo ya rangi nyekundu) akifuatilia warsha kuhusu usambazaji wa umeme iliyofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwl Nyerere jijini Dar Es Salaam.
 Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Helios na Tanesco waliohudhuria warsha hiyo
 Wafanyakazi wa Tanesco wakifuatilia warsha hiyo.
 Mshauri kutoka Kampuni ya Helios Tower Tanzania, Dama Van Dan Berg akiwasilisha jinsi ya kampuni ya Helios Tower inavyoweza kufanya kazi katika kufunga minara.Picha na Josephat Lukaza – Lukaza Blog

No comments:

Post a Comment