
Meneja
wa kinwaji cha Serengeti Lager kutoka kampuni ya bia ya Serengeti Bw.
Allan Chonjo anayeendesha gari pamoja na Kanji ambaye pia ni
mfanyakazi wa kampuni hiyo wakiongoza msafara wakati ulipopita mitaa
mbalimbali ya jiji la Dar es salaam leo, kuutambulisha muonekano mpya wa
nembo ya bia ya Serengeti Lager huku ikiwa na ubora na viwango
vilevile.
Kamalade Ali Choki na mkundi lake la Extra Bongo wakifanya vitu vyao kwenye jukwaa la gari maalum.
Mpiga
gitaa la bass wa Extra Bongo akipiga gitaa huku mnenguaji wa bendi hiyo
akicheza mbele yake wakati msafara huo ulipopita katika barabara ya
Uhuru leo.

Extra
Bongo wacharuka na kumwaga mauno barabarani wakati msafara wa
promosheni ya Muonekano Mpya wa Dhahabu ukiendelea katika mitaa
mbalimbali jijini Dar es salaam leo.
Muonekano mpya wa Dhahabu wa Serengeti Lager akipita maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es salaam
Msafara
akupita katika maeneo ya BP katika baranbara ya Bandari ukitokea
Chang'ombe Kiwandani na kuelekea maeneo ya Kariakoo jijini Dar es
salaam.
No comments:
Post a Comment