With
over 200 invited guests from various parts of the country, including
consumers, Serengeti Breweries Ltd stakeholders and the media
fraternity, the celebration of a new beginning of the definitive
Serengeti Premium Lager was witnessed.
The
launch Serengeti Premium Lager at this prestigious venue was a vibrant
and refined event, graced by the Permanent Secretary, Ministry of
Industries, Trade and Marketing, Mrs Joyce Mapunjo.
As
he welcomed the invited guests,
Mr. Ephraim Mafuru, Director of Sales
and Marketing, asserted that the beer with its new look has the same
great taste and quality. He said, “Serengeti Premium Lager is known
for its great quality and taste, has scooped gold medals at
international platforms like DLG & Monde, and is also proud to be
the first lager manufactured in Tanzania to be 100% malt. The beer has
recorded a historic growth in both value and volumes. The new
appearance relates better now to both our male and female consumers.”
Addressing
the invited guests, Managing Director of Serengeti Breweries Limited,
Mr Richard Wells, said: “As part of Diageo, at SBL we have embraced
core principals, and the quality of our products is key. We believe in
producing using the best ingredients there are in the most hygienic
environment.”
Mr.
Wells also touched briefly on SBL social responsibility projects, “We
are enjoying amazing growth in our company and in the light of this I
would like to point out that we are sharing our success with the
community that surrounds us, through projects including water of life, skills for life, health and environment.
We have provided clean water to hospitals, built an optical clinic in
Moshi, planted trees in various regions and, in collaboration with
EABL Foundation, sponsored students who are underprivileged, among
other initiatives.”
The
guest of honour Mrs. Joyce Mapunjo congratulated Serengeti Breweries
Ltd. on its commendable growth. She said, “I constantly address
gatherings of this nature, and one thing I repeatedly point out to
organisations such as SBL is to produce products that are competitive
internationally in quality as well as packaging. A product like that
launched here today, is a good example of one that will surely pass in
markets
outside our borders. I do laud Serengeti Breweries today. I
would also want to personally congratulate the Board of Directors on
the Moshi Brewery which was officially launched towards the end of last
year by our Prime Minister. I want to assure you that the government
will continue with its colossal support to the private sector.”
The
launch which commenced at around 7pm with invited guests chatting away
and waiting for the unveiling, marked a new beginning for the iconic
and distinctly tasteful lager. The signature moment was the new look
bottle emerging from under water, a concept that wowed the audience.
There were testimonials from Serengeti Breweries Limited stakeholders
speaking about how far they have come with this brand and the successes
along the way. Great entertainment, food and drinks creamed it all.
Please remember to drink responsibly, strictly 18+
Katibu
Mkuu Wizara ya Viwanda Biashara na Masoko B. Joyce Mapunjo katikati
akiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa Kampuni ya bia ya Serengeti
mara baada ya kuzindua rasmi bia ya Serengeti katika muonekano wa
Dhahabu, uzinduzi uliofanyika jana jioni kwenye hoteli ya Golden Tulip
jijini Dar es salaam na kuhudguriwa na wadau mbalimbali na wageni
waalikwa.
Kutoka
kulia ni Emilian Rwejuna meneja masoko (SBL) Mark Tyro Mkurugenzi wa
Usambazaji, Ephraima Mafuru Mkurugenzi wa Masoko, Mgeni rasmi Katibu
Mkuu Viwanda, Biashara na Masoko Joyce Mapunjo, Mkurugenzi mtendaji wa
(SBL) Richard Wells na kushoto ni Zohra Moore Meneja wa Huduma IPP
wakipozi kwa picha huku wakiwa wameshikilia chupa mpya ya Serengeti
Lager iliyo katika muonekano wa Dhahabu
Chupa
mpya ya Serengeti Lager yenye muonekano wa wa Dhahabu ikiibuka kutoka
katika maji mara baada ya kuzinduliwa rasmi jana usiku.
Ni moja ya Shamrashamra wakati nembo mpya ya Bia ya Serengeti Lager ikizinduliwa Golden Tulip jana
Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda Biashara na Masoko B. Joyce Mapunjo, hapa alikuwa akifuatilia kwa Makini Kuona Chupa
mpya ya Serengeti Lager yenye muonekano wa wa Dhahabu itakavyo ibuka kutoka
katika maji.
Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya bia ya Serengeti (SBL) Richard Wells
akizungumza katika uzinduzi huo wakati alipomkaribisha mgeni rasmi.
Ephraima
Mafuru Mkurugenzi wa Masoko kampuni ya bia ya Serengeti akizungumzia
mafanikio mbalimbali yaliyopatikana katika taifa kupitia bia ya
Serengeti Lager.
Mark
Tyror Mkurugenzi wa Usambazaji kulia na Ephraima Mafuru Mkurugenzi wa
Masoko kampuni ya bia ya Serengeti wakionyesha nembo mpya ya bia ya
Serengeti Lager.
Mrembo wa Serengeti Lager akipozi kwa picha na huku akionyesha Nembo mpya ya Bia ya Serengeti Lager
Mkurugenzi wa Usambazaji Mark Tyro kushoto akipozi kwa picha na marafiki zake
Kutoka
kulia ni Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya bia ya Serengeti (SBL)
Richard Wells, Ephraima Mafuru Mkurugenzi wa Masoko kampuni ya bia ya
Serengeti na Mwisho ni Meneja wa Mahusiano kampuni ya bia ya Serengeti
Nandi Mwiyombela
Hapa ilibaki burudani tu.
Ephraima
Mafuru Mkurugenzi wa Masoko kampuni ya bia ya Serengeti akiongea na
mkurugenzi wa Extra Bongo Kamalade Ali Choki , kulia ni Meneja Masoko wa
(SBL) Emilian Rwejuna
Bila hii Meza Mambo si singeweza kwenda kama yalivyofana.katika uzinduzi rasmi wa Bia ya Serengeti.(We paparazi usituandike sisi nenda kapige picha huko watu wanaburudika na SERENGETI Bhana, ni wakati wa kufurahia Kinywaji chako kipya cha Kitanzania inayokuja na katika muonekano wa
Dhahabu,).yaani Full Kujiachia hiyo jana.
Dada Ritah Mchaki meneja wa bia ya Tusker katikati akipozi na wadau kutoka kampuni ya bia ya Serengeti,
Meneja wa kiinywaji cha Serengeti Lager Allan Chonjo
katikati anaonekana akitoa maelezo kwa Mkurugenzi wa Kampuni ya bia ya
Serengeti Richard Wells kushoto, huku akimsikiliza pamoja na Meneja
Masoko wa kampuni hiyo Emilian Rwejuna kulia katika kupanga Mikakati ya Shughuli.
Meneja wa kiinywaji cha Serengeti Lager Allan Chonjo
katikati, akifuatilia jambo wakati wa uzinduzi huo
Rapa
mahili wa Extra Bongo Maarufu kama Furgason akighani akisikilizia Utamu wa Serengeti Bia katika Usiku wa Burudani na Uzinduzi ,akimsikilizia
mnenguaji mahiri wa bendi hiyo Aisha Madinda wakati alipokuwa akicheza.
Wanenguaji wa bendi ya Extra Bongo wakifanya vitu vyao wakati Serengeti Bia, ilipozinduliwa hapa walikuwa moja na mbili jukwaani.
CHEERS NA SERENGETI LAGER KINYWAJI BORA ZAIDI TANZANIA-NEMBO MPYA YA DHABABU -RADHA ILE ILE- NA CHUI MPYA TANZANIA.(Picha na Shaabanmpalule.blogspot.com)
No comments:
Post a Comment