
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana katika viwanja vya Mahakama
kuu jijini Dar es salaam leo January 3, 2012 na kupokewa na Jaji Mkuu
Mh. Mohamed Chande Othman nyuma yake, Spika Anne Makinda (anayepeana
nae mikono, na viongozi wa juu wa Mahakama kabla ya kuhutubia katika
Siku ya Sheria Tanzania jijini Dar es salaam leo January 3, 2012
PICHA NA IKULU

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiuhtubia katika Siku ya Sheria Tanzania jijini Dar es salaam leo January 3, 2012
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia kalenda aliyozawadiwa na Jaji Mkuu
Mh. Mohamed Chande Othman baada ya kuhutubia katika Siku ya Sheria
Tanzania jijini Dar es salaam leo January 3, 2012
No comments:
Post a Comment