Ofisa
Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Doris Malulu akipeana mkono
na Mwenyekiti wa Kijiji cha Kambi ya Simba, Damian John wakati wa
makabidhiano ya mfano wa hundi ya Sh. Milioni 45 zilizotolewa kwa ajili
ya kuchimba kisima cha maji kijijini hapo mwishoni mwa wiki. Wengine ni
Meneja Mauzo TBL Mkoa wa Arusha Richard Temba (mwenye miwani) na
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Karatu Moses Mabula.
Ofisa
Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Doris Malulu akizungumza na
wananchi wa Kijiji cha Kambi ya Simba, Kata ya Mbulumbulu wilayani
Karatu, Arusha, wakati wa hafla ya kuwakabidhi mfano wa hundi ya sh.
mil. 45 za kugharamia uchimbaji wa kisima cha maji kijijini hapo,
mwishoni mwa wiki. Kushoto ni Meneja Mauzo TBL Mkoa wa Arusha Richard
Temba na aliyekaa ni Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Karatu, Moses
Mabula.
Wananchi wa kijiji hicho wakishuhudia makabidhiano ya hundi hiyo
Mkurugenzi
Mtendaji Halmashauri ya wilaya ya Karatu, mkoani Arusha, Moses Mabula
na Meneja Mauzo TBL Mkoa wa Arusha Richard Temba wakiwa katika picha ya
pamoja na Kamati ya Maji ya Kijiji cha Kambi ya Simba pamoja na
watalaamu watakaochimba kisima hicho cha maji, baada ya kukabidhiwa
mfano wa hundi ya Sh. Milioni 45 na TBL.
No comments:
Post a Comment