Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na makamu wa Rais wa Sudan, Hassabo
Mohamed Abdel Rahman katika mkutano maalum wa nchi za maziwa makuu wa
kujadili ajira kwa vijana uliofanyika jijini Nairobi Julai 24, 2014.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na makamu wa Rais wa Sudan, Hassabo
Mohamed Abdel Rahman katika mkutano maalum wa nchi za maziwa makuu wa
kujadili ajira kwa vijana uliofanyika jijini Nairobi Julai 24, 2014.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mtanzania Nancy Kairagi ambaye
hivi karibuni amechaguliwa kuwa Rais wa Umoja wa Vijana wa Nchi za
maziwa makuu, wakati alipokutana nae jijini Nairobi Juai 24, 2014 kwenye
mkutano maalum wa nchi za maziwa makuu wa kujadili tatizo la ajira
kwa vijana. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa kazi na Ajira, Gaudencia Kabaka
(kushoto) wakizungumza na Mtanzania Nancy Kairagi ambaye hivi karibuni
amechaguliwa kuwa Rais wa Umoja wa Vijana wa Nchi za Maziwa Makuu
katika Mkutano Maalum wa nchi za Maziwa Makuu wa kujadili swala la ajira
kwa vijana uliofanyika Nairobi Julai 24, 2014. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment