Inasadikiwa
mtu huyu amekuja kutupwa eneo hili kutoka eneo jingine ambalo
halijajulikana bado.Mwili huu umekutwa eneo hili la segerea kinyelezi
jiji Dar es salaam na watoto ambao walikuwa wakikata miwa huku ukiwa
umeharibika na umekatwa shingo na kung'olewa macho yote mawili na mpaka
sasa hajafamika tayari police wamechukua mwili huo kwa uchunguzi
Ijumaa, Agosti 15, 2014
FICHUO Tz
Ndege
ya Malaysia Flight MH 370 iliyopotea miezi mitano iliyopita imerudi
tena kwenye vichwa vya habari ikiwa na ripoti za kushangaza.
Ripoiti ya benki ya Kuala Lumpur, Malaysia inaoensha kuwa akaunti za abiria wanne wa ndege hiyo zimechukuliwa pesa July 18 mwaka huu fedha ambazo zitajwa kuwa zaidi ya £20,000.
Msaidizi wa mkuu wa upelelezi wa makosa ya jinai Malaysia, Izany Abdul Ghany ameiambia Mirror kuwa wanaendelea kufanya uchunguzi kufahamu jinsi ambavyo pesa hizo zilivyopotea.
Ndege ya Malaysia ilipotea March 8, 2014 ikiwa imebeba wafanyakazi 12 na abiria 227 kutoka katika mataifa mbalimbali na bado haijapatikana huku maafisa wakitangaza kuwa watu wote waliokuwa kwenye ndege hiyo wamepoteza maisha.
- See more at: http://fichuotz.blogspot.com/2014/08/makubwa-mapya-ya-ndege-iliyopotea.html?spref=fb#sthash.su4D2Kri.dpufRipoiti ya benki ya Kuala Lumpur, Malaysia inaoensha kuwa akaunti za abiria wanne wa ndege hiyo zimechukuliwa pesa July 18 mwaka huu fedha ambazo zitajwa kuwa zaidi ya £20,000.

We are investigating the case as unauthorised access with intent to commit an offence,We are getting CCTV footage from the bank to identify the suspects involved.Ameeleza kuwa pesa hizo zilitolewa katika akaunti ya abiria watatu na kuwekwa katika akauti ya abiria wanne kabla ya kutolewa kabisa.

0 comments:
Chapisha Maoni
Links to this post