Mbunge wa
Jimbo la Mtama mkoani Lindi ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa Mhe.Mhesimiwa Bernard Membe akisalimiana na
Salum Said Mchora ambaye amepoteza mtoto wake wa kiume mwenye umri wa
miaka 23 Said S. Mchora mkazi wa Masasi,Majengo.Watu 8 wamepoteza maisha na wengine watatu kujeruhiwa kwenye ajali ya gari iliyotokea Mtama tarehe 8/8/2014
Mbunge wa
Jimbo la Mtama mkoani Lindi ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa Mhe.Mhesimiwa Bernard Membe akititoa mkono wa
pole kwa Ndugu Said Mchora ambaye amepoteza mtoto wake wa kiume mwenye
umri wa miaka 23 Said S. Mchora mkazi wa Masasi,Majengo kwenye ajali ya
gari iliyotokea Mtama karibu na stendi ya mabasi ya Masasi,Katikati ni
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa Nape Nnauye ambaye alitoa
salaam za rambi rambi kwa niaba ya Chama cha Mapinduzi.
Watu 8 wamepoteza maisha na wengine watatu kujeruhiwa kwenye ajali ya gari iliyotokea Mtama tarehe 8/8/2014
Mbunge
wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa Mhe.Mhesimiwa Bernard Membe akiongozana na
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa Nape Nnauye kwenda kutoa salaam
za rambirambi kwa familia zilizopoteza jina wao kwenye agari ya gari
iliyotokea Mtama,kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Washauri wa Madini,Richard Kasesela .Watu 8 wamepoteza maisha na wengine watatu kujeruhiwa kwenye ajali ya gari iliyotokea Mtama tarehe 8/8/2014
Mbunge wa
Jimbo la Mtama mkoani Lindi ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa Mhe.Mhesimiwa Bernard Membe pamoja na Katibu
wa Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa Nape Nnauye wakimsikiliza Mzee
Halfani Libaba ambaye ameondokewa na mtoto wake wa kiume Rajab Halfani
kwenye ajali mbaya ya gari lililoacha njia wakati dereva akijaribu
kumkwepa mbuzi na kusababisha vifo vya watu 8.
Mbunge
wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa Mhe.Mhesimiwa Bernard Membe na Katibu
wa Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa Nape Nnauye pamoja na viongozi
wengine wa CCM Mkoa na Wilaya ya Lindi wakionyeshwa eneo ambalo ajali
ilitokea.
Mbunge
wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa Mhe.Mhesimiwa Bernard Membe pamoja na Katibu
wa Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa Nape Nnauye wakimpa pole mpiga picha
maarufu Mohamed Selemani ambaye amelazwa kwenye hospitali ya Nyangao
mkoani Lindi.
Mbunge
wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa Mhe.Mhesimiwa Bernard Membe akimjulia hali na
kumpa pole Ndugu Shaaban Issa mmoja wa majeruhi watatu wa ajali ya a
gari iliyotokea Mtama na kusababisha vifo vya watu 8.
No comments:
Post a Comment