Mshindi wakwanza wa shindano la uwekezaji
“DSE Scholar Investment Challenge 2014” Laurent Dyanko kutoka chou kikuu cha kilimo,
Sokoine University of Agriculture (SUA) akikabidhiwa zawadi wa shilingi milioni
moja na cheti cha ushindi
Mshindi wapili wa shindano la uwekezaji
“DSE Scholar Investment Challenge 2014” George Firimini kutoka chuo cha
usimaniza wa fedha, Institute of Finance Management (IFM) akikabidhiwa zawadi
wa shilingi laki sita na cheti cha ushindi
Mshindi watatu wa shindano la uwekezaji
“DSE Scholar Investment Challenge 2014” Godlove Kellya kutoka chuo kikuu cha
Dar es Salaam akikabidhiwa zawadi ya shilingi laki nne na cheti cha ushindi
Washindi
watatu bora shindano la uwekezaji “DSE Scholar Investment Challenge 2014”
Laurent Dyanko, George Firmini na Godlove Kellya katika picha ya pamoja na mwakilishi
kutoka benki ya NMB, mkuu kitengo cha njia za huduma mbadala.
Afisa mtendaji mkuu wa Dar es Salaam Stock
Exchange akiongea na wanafunzi walioshiriki katika shindano la uwekezaji “DSE
Scholar Investment Challenge 2014” wakati wa hafla ya kuwatambua wanafunzi
hamsini bora na uandaaji wa mchakato wa kutafuta washindi watatu bora wa
shindano hilo. Katikati ni bwana George Kivaria mwakilishi benki ya NMB (wadhamini wa
mashindano) kushoto ni Sosthenes Kewe Mkurugenzi
wa taasisi ya uendelezaji wa huduma za fedha.
Baadhi ya wanafunzi
hamsini bora wakikabidhiwa vyeti vyao na
wageni rasmi, wa kwanza kotoka kushoto ni George Kivaria mkuu wa kitengo cha
huduma mbadala Benki ya NMB, wapili Sosthenes Kewe Mtendaji mkuu taasisi ya
uendelezaji wa huduma za fedha.
Wanafunzi wa vyuoni wakijiandaa kujibu
maswali (kuhojiwa) katika mchakato wa kumtafuta mshindi wa shindano la
uzekezaji “DSE Scholar Investment Challenge 2014”
Majaji wakifatilia majibu ya wanafunzi
jinsi namna walivyofanya maamuzi ya uwekezaji katika shindano la uwekezakaji
“DSE Scholar Investment Challenge”
wadau
wa soko wa soko la hisa la Dar es Salam “Dar es Salaam Stock Exchange”
wakifuatilia mchakato wa kutafuta washindi watatu bora.
No comments:
Post a Comment