Waziri wa Fedha na Mipango, Dk.Philip Mpango akikabidhiwa kibao maalumu mara baada ya kuzindua Kongamano
la Kimataifa linalojadili juu ya Uwajibikaji katika Sekta ya ya Gesi
na Mafuta lililoandaliwa na Taasisi ya Uwajibikaji Tanzania (WIPA) na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Uwajibikaji Tanzania (WIPA), Ludovick Utouh jijini Dar es Salaam leo.
No comments:
Post a Comment