TAN
Bayport
Kikoa
Myway entertainment
FORE PLAN CLINIC
MPINGA CUP 2016
Mashujaa Fm 89.3, Lindi
Tuesday, April 12, 2016
Wadau wakutana kujadili mabadiliko ya mfumo wa haki jinai nchini
Mkurugenzi wa Asasi ya Commonwealth Human Rights Initiative (CHRI) ya nchini India, Bibi Maja Daruwala akiongea wakati wa warsha ya wadau wa haki jinai, Makao Makuu ya Ofisi za THBUB, jijini Dar es Salaam leo.
Baadhi ya washiriki wakifuatilia mada katika warsha hiyo.
Baadhi ya washiriki wakifuatilia mada katika warsha hiyo.
Picha ya pamoja
Mhe. Nyanduga na wageni wake, Bibi Daruwala, Mkurugenzi wa Asasi ya Commonwealth Human Rights Initiative na Bwana Anthony Adam, afisa kutoka Asasi ya Open Society Institute of Eastern Africa wakifurahia jambo muda mfupi baada ya ufunguzi wa warsha ya wadau wa haki jinai iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.
(Picha zote na Germanus Joseph wa THBUB)
Mwenyekiti wa THBUB, Mhe. Bahame Tom Nyanduga akibadilishana mawazo na wabia wa mradi (project partners). Kulia kwa Mhe. Nyanduga ni Mtendaji Mkuu wa Chama cha Wanasheria Tanzania Bara, Bwana Kaleb Lameck Gamaya na kushoto kwake ni Mkurugenzi wa Asasi ya Commonwealth Human Rights Initiative (CHRI), Bibi Maja Daruwala. Kulia ni Bwana Ula Dzenisevich, afisa kutoka CHRI.
Mratibu wa Mradi, Bwana Stephen Msechu akitoa maelezo kuhusu jukwaa la Haki na Usalama wakati wa warsha ya wadau wa haki jinai iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa THBUB, Mhe. Bahame Tom Nyanduga akitoa hotuba yake ya ufunguzi wa warsha ya haki jinai mapema leo jijini Dar es Salaam.
Mmoja wa wajumbe akichangia hoja wakati wa warsha hiyo.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment