Shindano la Mashujaa wa Kesho lilihusisha vijana wenye umri kati ya miaka 18 na 25 kutoka mikoa ya Mtwara na Lindi kuwasilisha mawazo yao ya biashara ambayo baadae yalibadilishwa na kuwekwa kwenye andiko la biashara.
Mwaka huu shindano hili lilivutia vijana zaidi ya 400 ambao waliwasilisha mawazo ya biashara zao zinazolenga sekta mbalimbali za uchumi kama kilimo, ufugaji, mawasiliano, na biashara nyingine ndogondogo. Vijana waliruhusiwa kushiriki mmoja mmoja au hata kuunda vikundi vya watu wawili mpaka watatu.
Mtoto
wa Malkia wa Norway (Crown Princess of Norway), Mette Marit akipokea
zawadi ya picha yenye mchoro wa wanyama aina ya Pundamilia, kutoka kwa Meneja Mawasiliano wa Kampuni ya Statoil Tanzania, Genevieve Kasanga.
Mtoto wa Malkia wa Norway (Crown Princess of Norway), Mette Marit akiwa katika picha ya pamoja na Majaji wa shindano hilo.
Mtoto wa Malkia wa Norway (Crown Princess of Norway), Mette Marit akiwa katika picha ya pamoja na Sehemu ya Washiriki hao.
No comments:
Post a Comment