Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati ya
Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa nchi ya Jamhuri ya Czech hapa
nchini Pavel Rezac, tukio hilo
lilifanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
Balozi Mteule wa nchi ya Jamhuri ya Czech hapa nchini Pavel Rezac mara baada ya kukabidhi hati zake
za utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam.
. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akizungumza na Balozi Mteule wa nchi ya Jamhuri ya Sudani
Kusini Mariano Deng Ngor aliyefika Ikulu kwa ajili ya kuwasilisha hati yake za
utambulisho.
KaimuMnikulu Ngusa Samike kulia akimkaribisha Balozi Mteule wa Brazil Carlos AlfonsoIglesias Ikulu jijini Dar es Salaam katikati ni Kaimu Mkuu wa Itifaki JamesMbwana kutoka Wizara ya Mambo ya Nje Ushirikiano wa Afrika Mashariki, kikandana Kimataifa. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment