MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AZINDUA MRADI WA UJENZI WA NYUMBA ZA PALM VILLEGE MSASANI BEACH WATERFONT LEO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan kwa niaba ya Kampuni ya Mradi wa Ujenzi wa Nyumba za Palm Village
Msasani Beach Waterfront akikabidhi Mfano wa hundi yenye jumla ya Tshs.
10,000,000. Kwa Uongozi wa Shule Msingi Mbuyuni kwa ajili ya kuendeleza
Shule hiyo. Leo April 09,2016. Kulia Afisa Muandamizi Ubalozi wa China
Hapa Nchini Guo Haodong, wapili kushoto Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais
Tamisemi Mhe. Geoge Simbachawene, na Waziri Biasha na Uwekezaji Mhe.
Chales Mwinjage.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan, akikata utepe kuzindua rasmi Mradi wa Ujenzi wa Nyumba za Palm
Village Msasani Beach Waterfront Leo April 09,2016. Kulia Afisa
Muandamizi Ubalozi wa China Hapa Nchini Guo Haodong, wa tatu kushoto
Mwenyekiti wa Kampuni Uwekezaji ya Group 6 Jonson Huang wa pili kushoto
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi Mhe. Geoge Simbachawene, na Waziri
Biasha na Uwekezaji Mhe. Chales Mwinjage.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akiondoa Pazia kuzindua rasmi Mradi wa Ujenzi wa Nyumba za Palm Village
Msasani Beach Waterfront Leo April 09,2016. Kulia Afisa Muandamizi
Ubalozi wa China Hapa Nchini Guo Haodong, wa tatu kushoto Mwenyekiti wa
Kampuni Uwekezaji ya Group 6 Jonson Huang.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan katikati akiwa kwenye picha ya pamoja na Uongozi wa Kampuni ya
Mradi wa Ujenzi wa Nyumba za Palm Village unaodhaminiwa na kujengwa na
Kampuni ya Uwekezaji ya Group 6 ya China unaojengwa katika eneo la
Msasani Beach Waterfront, Leo Aapril 09,2016.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akizungumza jambo na Afisa Muandamizi wa Ubalozi wa China Hapa Nchini
Guo Haodong, wakati wa ghafla ya uzinduzi wa Mradi wa Ujenzi wa Nyumba
za Palm Villege unaodhaminiwa na kujengwa na Kampuni ya Uwekezaji ya
Gropu 6 ya China zinazojengwa Msasani Beach Waterfront.
No comments:
Post a Comment