TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Tuesday, April 12, 2016

Wafanyakazi NMB Wasaidia Wagonjwa Muhimbili na Sinza Hospitali

Baadhi ya Wafanyakazi wa Benki ya NMB Kitengo cha Hazina wakimkabidhi mashine ya kumsaidia mtoto anayeshindwa kupumua vizuri (Suction Machine) Ichaji wa Wodi 'A' ya Watoto Hospitali ya Taifa Muhimbili, Sista Devota Ndendeje (mwenye nguo nyeupe) walipotembelea wagonjwa waliolazwa katika Wodi ya Watoto Hospitalini hapo juzi. Vifaa vingine vilivyokabidhiwa ni ENT Seti mbili kwa ajili ya vipimo vya masikio, koo na pua kwa watoto, mashine ya kuwasaidia watoto wenye pumu (Nebulizer machine), Digital thermometer 14, pampers, sabuni, mafuta ya vaseline, cotton buds, miswaki na dawa za miswaki, toilet papers, chupa za maziwa kwa watoto wachanga na zawadi nyingine kwa watoto kama pipi, juice, biscuits na chama. Baadhi ya Wafanyakazi wa Benki ya NMB Kitengo cha Hazina wakimkabidhi mashine ya kumsaidia mtoto anayeshindwa kupumua vizuri (Suction Machine) Ichaji wa Wodi 'A' ya Watoto Hospitali ya Taifa Muhimbili, Sista Devota Ndendeje (mwenye nguo nyeupe) walipotembelea wagonjwa waliolazwa katika Wodi ya Watoto Hospitalini hapo juzi. Vifaa vingine vilivyokabidhiwa ni ENT Seti mbili kwa ajili ya vipimo vya masikio, koo na pua kwa watoto, mashine ya kuwasaidia watoto wenye pumu (Nebulizer machine), Digital thermometer 14, pampers, sabuni, mafuta ya vaseline, cotton buds, miswaki na dawa za miswaki, toilet papers, chupa za maziwa kwa watoto wachanga na zawadi nyingine kwa watoto kama pipi, juice, biscuits na chama.Baadhi ya Wafanyakazi wa Benki ya NMB Hazina wa jijini Dar es Salaam wakimkabidhi baadhi ya misaada Ichaji wa Wodi 'A' ya Watoto Hospitali ya Taifa Muhimbili, Sista Devota Ndendeje (katikati) walipotembelea wagonjwa waliolazwa katika Wodi ya Watoto Hospitali ya Taifa Muhimbili juzi. Miongoni mwa misaada iliyotolewa ni pamoja na mashine ya kumsaidia mtoto anayeshindwa kupumua vizuri (Suction Machine), ENT Seti mbili kwa ajili ya vipimo vya masikio, koo na pua kwa watoto, mashine ya kuwasaidia watoto wenye pumu (Nebulizer machine), Digital thermometer 14, pampers, sabuni, mafuta ya vaseline, cotton buds, miswaki na dawa za miswaki, toilet papers, chupa za maziwa kwa watoto wachanga na zawadi nyingine kwa watoto kama pipi, juice, biscuits na chama. Baadhi ya Wafanyakazi wa Benki ya NMB Hazina wa jijini Dar es Salaam wakimkabidhi baadhi ya misaada Ichaji wa Wodi 'A' ya Watoto Hospitali ya Taifa Muhimbili, Sista Devota Ndendeje (katikati) walipotembelea wagonjwa waliolazwa katika Wodi ya Watoto Hospitali ya Taifa Muhimbili juzi. Miongoni mwa misaada iliyotolewa ni pamoja na mashine ya kumsaidia mtoto anayeshindwa kupumua vizuri (Suction Machine), ENT Seti mbili kwa ajili ya vipimo vya masikio, koo na pua kwa watoto, mashine ya kuwasaidia watoto wenye pumu (Nebulizer machine), Digital thermometer 14, pampers, sabuni, mafuta ya vaseline, cotton buds, miswaki na dawa za miswaki, toilet papers, chupa za maziwa kwa watoto wachanga na zawadi nyingine kwa watoto kama pipi, juice, biscuits na chama.Baadhi ya Wafanyakazi wa Benki ya NMB Kitengo cha Hazina wakibeba ma boksi ya seti za vifaa vya kujifungulia kwa wajawazito kwa ajili ya kuwagawia wajawazito wanaopokelewa katika Wodi ya Wazazi Hospitali ya Sinza, Parestina walipotembelea hospitali hiyo juzi. Jumla ya Seti 100 za vifaa hivyo vilitolewa na Wafanyakazi wa Benki ya NMB Kitengo cha Biashara jijini Dar es salaam na kugawiwa kwa wahusika. Baadhi ya Wafanyakazi wa Benki ya NMB Kitengo cha Hazina wakibeba ma boksi ya seti za vifaa vya kujifungulia kwa wajawazito kwa ajili ya kuwagawia wajawazito wanaopokelewa katika Wodi ya Wazazi Hospitali ya Sinza, Parestina walipotembelea hospitali hiyo juzi. Jumla ya Seti 100 za vifaa hivyo vilitolewa na Wafanyakazi wa Benki ya NMB Kitengo cha Biashara jijini Dar es salaam na kugawiwa kwa wahusika.Mkuu wa Kitengo cha Biashara wa Benki ya NMB, James Meitaron (kulia) akimkabidhi mmoja wa wajawazito seti ya vifaa vya kujifungulia alipotembelea Wodi ya Wazazi katika Hospitali ya Sinza, Parestina juzi jijini Dar es Salaam. Mkuu wa Kitengo cha Biashara wa Benki ya NMB, James Meitaron (kulia) akimkabidhi mmoja wa wajawazito seti ya vifaa vya kujifungulia alipotembelea Wodi ya Wazazi katika Hospitali ya Sinza, Parestina juzi jijini Dar es SalaamMeneja Bidhaa wa Benki ya NMB, Beatrice Mwambije akimkabidhi mmoja wa wajawazito seti ya vifaa vya kujifungulia alipotembelea Wodi ya Wazazi katika Hospitali ya Sinza, Parestina juzi jijini Dar es Salaam. Meneja Bidhaa wa Benki ya NMB, Beatrice Mwambije akimkabidhi mmoja wa wajawazito seti ya vifaa vya kujifungulia alipotembelea Wodi ya Wazazi katika Hospitali ya Sinza, Parestina juzi jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Benki ya NMB Kitengo cha Biashara (kulia) jijini Dar es Salaam wakikabidhi seti za vifaa vya kujifungulia kwa wajawazito walipotembelea Wodi ya Wazazi Hospitali ya Sinza, Parestina juzi Dar es Salaam. Mkuu wa Kitengo cha Biashara wa Benki ya NMB, James Meitaron (kulia) akipokea neno la shukrani toka kwa mmoja wa wagonjwa katika Hospitali ya Sinza, Parestina mara baada ya kutoa misaada. Mkuu wa Kitengo cha Biashara wa Benki ya NMB, James Meitaron (wa tatu kushoto) akikabidhi Muuguzi Mfawidhi wa Hospitali ya Sinza, Parestina, Bi. Agness Mgaya (kulia) baadhi ya seti za vifaa vya kujifungulia kwa wajawazito. Katikati akishukuru ni Kaimu Mganga Mkuu Hospitali ya Sinza, Dk. Kayola Chrispin. Jumla ya Seti 100 za vifaa hivyo zilitolewa na Wafanyakazi wa Benki ya NMB Kitengo cha Biashara jijini Dar es salaam na kugawiwa kwa wahusika. Mkuu wa Kitengo cha Biashara wa Benki ya NMB, James Meitaron (kulia) akikabidhi Muuguzi Mfawidhi wa Hospitali ya Sinza, Parestina, Bi. Agness Mgaya (kushoto) baadhi ya seti za vifaa vya kujifungulia kwa wajawazito. Katikati akishuhudia ni Kaimu Mganga Mkuu Hospitali ya Sinza, Dk. Kayola Chrispin. Jumla ya Seti 100 za vifaa hivyo zilitolewa na Wafanyakazi wa Benki ya NMB Kitengo cha Biashara jijini Dar es salaam na kugawiwa kwa wahusika. Mkuu wa Kitengo cha Biashara wa Benki ya NMB, James Meitaron (kulia) akimkabidhi Kaimu Mganga Mkuu Hospitali ya Sinza, Dk. Kayola Chrispin (wa pili kulia mbele) sehemu ya seti za vifaa vya kujifungulia kwa wajawazito. Jumla ya Seti 100 za vifaa hivyo zilitolewa na Wafanyakazi wa Benki ya NMB Kitengo cha Biashara jijini Dar es salaam na kugawiwa kwa wahusika. Baadhi ya Wafanyakazi wa Benki ya NMB Kitengo cha Hazina wakiwa wamebeba sehemu ya misaada waliotoa katika Wodi 'A' ya Watoto Hospitali ya Taifa Muhimbili. Ichaji wa Wodi 'A' ya Watoto Hospitali ya Taifa Muhimbili, Sista Devota Ndendeje (kulia) akiwashukuru sehemu ya wafanyakazi wa Benki ya NMB Kitengo cha Hazina mara baada ya kukabidhi misaada na zawadi kwa wagonjwa walipotembelea wodi hiyo. Miongoni mwa misaada iliyotolewa ni pamoja na mashine ya kumsaidia mtoto anayeshindwa kupumua vizuri (Suction Machine), ENT Seti mbili kwa ajili ya vipimo vya masikio, koo na pua kwa watoto, mashine ya kuwasaidia watoto wenye pumu (Nebulizer machine), Digital thermometer 14, pampers, sabuni, mafuta ya vaseline, cotton buds, miswaki na dawa za miswaki, toilet papers, chupa za maziwa kwa watoto wachanga na zawadi nyingine kwa watoto kama pipi, juice, biscuits na chama. Baadhi ya Wafanyakazi wa Benki ya NMB Hazina wa jijini Dar es Salaam wakikabidhi baadhi ya misaada kwa Ichaji wa Wodi 'A' ya Watoto Hospitali ya Taifa Muhimbili, Sista Devota Ndendeje walipotembelea wagonjwa waliolazwa katika Wodi ya Watoto Hospitali ya Taifa Muhimbili juzi. Baadhi ya Wafanyakazi wa Benki ya NMB Kitengo cha Hazina waliotembelea wagonjwa katika Wodi 'A' ya Watoto Hospitali ya Taifa Muhimbili na kutoa misaada na zawadi kwa wagonjwa katika picha ya pamoja na vifaa vyao Mmoja wa Wafanyakazi wa Benki ya NMB Kitengo cha Hazina (kushoto) akiwakabidhi zawadi mbalimbali baadhi ya wangonjwa waliolazwa katika Wodi 'A' ya Watoto Hospitali ya Taifa Muhimbili juzi. Mmoja wa Wafanyakazi wa Benki ya NMB Kitengo cha Hazina akiwakabidhi zawadi mbalimbali baadhi ya wangonjwa waliolazwa katika Wodi 'A' ya Watoto Hospitali ya Taifa Muhimbili juzi. Miongoni mwa misaada iliyotolewa ni pamoja na mashine ya kumsaidia mtoto anayeshindwa kupumua vizuri (Suction Machine), ENT Seti mbili kwa ajili ya vipimo vya masikio, koo na pua kwa watoto, mashine ya kuwasaidia watoto wenye pumu (Nebulizer machine), Digital thermometer 14, pampers, sabuni, mafuta ya vaseline, cotton buds, miswaki na dawa za miswaki, toilet papers, chupa za maziwa kwa watoto wachanga na zawadi nyingine kwa watoto kama pipi, juice, biscuits na chama. Baadhi ya Wafanyakazi wa Benki ya NMB Kitengo cha Hazina (kulia) wakiwakabidhi zawadi mbalimbali baadhi ya wangonjwa waliolazwa katika Wodi 'A' ya Watoto Hospitali ya Taifa Muhimbili juzi. Miongoni mwa misaada iliyotolewa ni pamoja na mashine ya kumsaidia mtoto anayeshindwa kupumua vizuri (Suction Machine), ENT Seti mbili kwa ajili ya vipimo vya masikio, koo na pua kwa watoto, mashine ya kuwasaidia watoto wenye pumu (Nebulizer machine), Digital thermometer 14, pampers, sabuni, mafuta ya vaseline, cotton buds, miswaki na dawa za miswaki, toilet papers, chupa za maziwa kwa watoto wachanga na zawadi nyingine kwa watoto kama pipi, juice, biscuits na chama. Mmoja wa Wafanyakazi wa Benki ya NMB Kitengo cha Hazina akisalimiana na baadhi ya watoto wanaotibiwa katika Wodi 'A' ya Watoto Hospitali ya Taifa Muhimbili juzi walipotembelea wagonjwa hospitalini hapo.

No comments:

Post a Comment