TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Friday, December 12, 2014

MIJI INAYOONGOZA KWA KUWA NA UCHAFUZI WA HEWA NA MAZINGIRA DUNIANI

10. New Delhi India

Katika baadhi ya sehemu za mji wa  New Delhi,kuna maeneo ambapo wakazi hutupa matakataka na mifuko yenye uchafu. Tani 3,000 za uchafu (moshi) kutoka viwandani umejaa katika anga la mji. Delhi inajulikana kama mji wa 4 katika uchafuzi wa mazingira duniani.
9.  Mumbai India
Mumbai, ni mji unaokuwa nchini India.Mji huu  ni moja ya miji yenye watu wengi duniani.Kibaya si wakazi wote wanaojua jinsi ya kusafisha mazingira yanayowazunguka. Mji wa Delhi huchafuliwa na takataka kutoka viwandani na moshi wa magari.
8.  Maputo – Mozambique
Maputo ni mji mkuu wa Mozambique na una wakazi wapatao familia  60,000 . Mji huu upo karibu kabisa na bahari yya Hindi.Kitu kibaya ni kwamba mji wa Maputo una mfumo mbaya wa maji taka.
 
7. Moscow, Russia
Licha ya kuwa moja ya mji ghali zaidi duniani, Moscow pia anajulikana kama mji wenye uchafuzi mkubwa wa mazingira duniani. Watu wengi wanaugua magonjwa ya mapafu na kipindupindu kutokana na hewa chafu.hii.
6. Mexico City , Mexico
Miaka 70 iliyopitta, Mexico city ilijulikana kama mji msafi kuliko yote duniani. Kwasasa,hewa ya oksijeni imechafuliwa kwa kiwango cha juu na hewa ya naitrojeni daioksaidi.
5. Lagos, Nigeria
Lagos ni makazi ya familia milioni 12  na viwanda vingi. Mgandamizo wa hewa chafu umetanda kutoka ardhini mpaka  angani.
4. Karachi-Pakistan
Karachi ni mji wenye shughuli nyingi nchini Pakistani.Mji huu unakabiliwa na uchafuzi katika anga, maji makelele na magonjwa ya kisaikolojia ambapo asilimia y 35 ya wakazi wa mji huu wamedhurika.
3. Dhaka – Bangladesh
Dhaka ni mji wene matatizo ya uchafuzi wa maji,hewa na takataka. Maji ni mazito na yana sumu kutokana na takataka za viwandani, madawa ya wadudu, bakteria wa magonjwa mbalimbali kutoka kwenye makazi ya watu.
2. Bandar Seri Begawan-Brunei Darussalam
Brunei Darussalamni mji uliop kusini mashariki mwa  Asia.Hewa chafu husababishwa na moshi wa magari
1. Baghdad – Iraq
  
Baghdad inakabiliwa na uchafuzi wa mazingira (hewa)kutokana na moshi wa   magari, jenereta, uchomaji wa mafuta,vilevile inakabiliwa na uchafuzi wa maji.


No comments:

Post a Comment