TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Thursday, December 11, 2014

MKAZI WA ROMBO AJISHINDIA LIMO BAJAJ

unnamed
Meneja wa Bia ya Serengeti, Rugambo Rodney (kushoto), akiongea kwa simu na mshindi wa Limo bajaj ambayo ni ya Pili kutolewa katika shindano la “Tutoke na Serengeti” Peter Emanuel mkazi wa Rombo Kilimanjaro katika shindano linaloendeshwa na ka mpuni hiyo . Kulia ni Mkaguzi toka Bodi  Michezo ya Kubahatisha , Abdallah Hemedy, hafla hiyo ilifanyika Serengeti mjini Dar es Salaam.
  Mkazi wa Rombo, Moshi Bwana Peter Emmanuel mwenye miaka 37 ameibuka mshindi wa pili wa Limo Bajaj katika droo ya pili ya kampeni ya miezi mitatu ijulikanayo kama “Tutoke na Serengeti”, inayodhaminiwa na  Serengeti Breweries Ltd ikishirikiana na B-Pesa.
“Ninafuraha sana na nina mshukuru Mungu…hii ni siku nzuri sana kwangu. Asante Serengeti kwa zawadi hii na ninaahidi kuendelea kushiriki katika promosheni hii, hata ikiwezekana kushinda bajaji nyingine.” Alisema Bajaj hiyo itamuongezea kipato kwa zaidi ya asilimia 30. Mara tu baada ya kutaarifiwa kwa njia ya simu kamba amejishindia Limo Bajaj.
Sambamba na hilo Bi Valerian Moshi mkulima wa moshi vijijini ni mshindi mwingine aliyejipatia Tsh. 100,000.

No comments:

Post a Comment