TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Friday, December 12, 2014

PINDA ATOA TUZO KWA WAAJIRI WALIOFANYA VIZURI 2014

unnamedWaziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Kazi na  Ajira , Gaudencia Kabaka  (kulia kwake) wakiwa katika picha ya pamoja na waandaaji na washiriki wa hafla ya kutoa tuzo kwa waajiri waliofanya vizuri kwa mwaka 2014 iliyofanyika kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam Desemba 11, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) unnamed1 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Kazi na  Ajira , Gaudencia Kabaka  (kulia kwake) wakiwa  pamoja na wafanyakazi wa kampini ya simu ya VODACOM ambayo iliiibuka mshindi wa jumla  katika hafla ya kutoa tuzo kwa waajiri waliofanya vizuri kwa mwaka 2014 iliyofanyika kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam Desemba 11, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment