TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Saturday, December 13, 2014

Mwanasoka wa kike Sherida Boniface aibuka mwanamichezo bora wa jumla mwaka 2014

 ya mwanamichezo bora wa jumla wa mwaka katika mchezo soka ambaye ni mchezaji wa kike  Sherida Boniface wakati wa utoaji wa tuzo za wanamichezo bora zinazoandaliwa na Chama cha Waandishi wa habari za Michezo TASWA , kushoto ni Mwenyekiti wa TASWA Bw. Juma Pinto , hafla ya utozji wa tuzo hizo imemalizika usiku huu kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam.2 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mh. Dr. Ali Mohammed Shein  akipiga picha ya pamoja na wananchezo wa mwaka waliotunukiwa tuzo za michezo zinazotolewa na TASWA usiku huu kwenye ukumbi wa Diambond Jubilee jijini Dar es salaam

No comments:

Post a Comment