Baadhi
ya Wafanyakazi wa Idara ya Fedha na Uhasibu wakiwa kwenye picha ya
pamoja na Mhasibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Bw.
Lyason Mwanjisi wakijipongeza na kupanga mikakati ya kuendelea kuwa
vinara kwenye tuzo hiyo, kikao hicho kifupi kimefanyika Mpingo House
Jijini Dar es salaam.
Pichani
ni tuzo iliyokabidhiwa na Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Adam Malima kwa
Mhasibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Bw. Lyason Mwanjisi kwenye
hafla iliyofanyika Disemba 6, 2014 katika Hoteli ya Mount Meru Jijini
Arusha
Mhasibu
Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Bw. Lyason Mwanjisi (upande wa
kulia) akiwa na Mkaguzi Mkuu wa Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani wa Wizara
Bi. Frola Msami wakifurahia tuzo hiyo.
Mkaguzi
Mkuu wa Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani wa Wizara ya Maliasili na Utalii
Bi. Frola Msami ( wa kwanza kulia) akimsikiliza kwa makini Mhasibu
Mkuu, Bw. Layson Mwanjisi ( hayupo pichani) wengine ni wafanyakazi wa
Wizara ya Maliasili na Utalii wa Idara ya Fedha na Uhasibu.
No comments:
Post a Comment