TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Thursday, December 11, 2014

Ingia Hapa Na Ukutane Na Mtoto Wa Kitanzania Anayetengeneza Application Za Simu Na Kuwauzia Kampuni ya Nokia


 Alvin Walter Makundi ni kijana mdogo wa Kitanzania anayeishi na wazazi wake nchini Singapore. Akiwa na umri wa miaka 14 na mwanafunzi wa kidato  cha pili  huko Singapore, tayari ameshatumbukiza jina lake katika orodha ya wataalamu wa application katika moja ya makampuni makubwa duniani ya kutengeneza simu za mkononi ya NOKIA, ambapo anatengeneza applications ambazo  anazituma katika kampuni hiyo ambayo nayo bila hiana huitumia. Kwa idhini ya mama yake. Globu ya Jamii ilipata fursa ya kuongea naye kuhusu hayo maajabu anayoyafanya. Msikilize. hapo chini...

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Bw. Walter P. Makundi, ambaye ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania waishio Singapore siku alipokutana na kuzungumza nao. Bw. Makundi, ambaye ni Meneja mradi wa kampuni kubwa ya ujenzi ya APCO PTE LTD ya hapo Singapore, ndiye baba mzazi wa Alvin. Kulia kwake ni mkewe, Mama Alvin.
Chini Rais Kikwete akisalimiana na Alvin ambaye aliongozana na mama yake pamoja na dada kuja kumuaga wakati Rais akiondoka Singapore usiku huu.

No comments:

Post a Comment