TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Friday, December 12, 2014

Kamanda Mpinga apokea stika za Usalama Barabarani

Mkurugenzi wa Masoko wa Benki ya Posta Tanzania, Deo Kwiyukwa (kulia) akimkabidhi Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Mohammed Mpinga stika za taarifa za usalama barabarani zilizotolewa na Benki ya Posta Tanzania (TPB).

Mkurugenzi wa Masoko wa Benki ya Posta Tanzania, Deo Kwiyukwa akibandika kwenye basi moja ya stika za taarifa za usalama barabarani zilizotolewa kwa msaada na TPB. Pembeni yake ni Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Mohammed Mpinga.

Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Mohammed Mpinga akibandika kwenye basi moja ya stika za taarifa za usalama barabarani zilizotolewa kwa msaada na TPB.

Zoezi la utoa stika za taarifa za usalama barabarani zilizotolewa kwa msaada na TPB kwenye mabasi ya abiria likiengelea.

Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Mohammed Mpinga akizungumza na wanahabari leo mara baada ya kupokea msaada wa stika za taarifa za usalama barabarani zilizotolewa na Benki ya Posta Tanzania (TPB).

Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Mohammed Mpinga (kulia) akiiangalia moja ya stika za taarifa za usalama barabarani zilizotolewa kwa msaada na TPB kwenye mabasi ya abiria, akiwa pamoja na wafanyakazi wa Benki ya Posta Tanzania walioshiriki katika hafla

Mkuu wa Usalama Barabarani Mkoa wa Kinondoni, Mkaguzi wa Polisi, Awadhi Haji akizungumza na wanahabari leo katika zoezi la utoaji wa stika za taarifa za usalama barabarani zilizotolewa na Benki ya Posta Tanzania (TPB).
Mkuu wa Usalama Barabarani Mkoa wa Kinondoni, Mkaguzi wa Polisi, Awadhi Haji akizungumza na wanahabari leo katika zoezi la utoaji wa stika za taarifa za usalama barabarani zilizotolewa na Benki ya Posta Tanzania (TPB).
Zoezi la utoa stika za taarifa za usalama barabarani zilizotolewa kwa msaada na TPB kwenye mabasi ya abiria likiengelea.
Zoezi la utoa stika za taarifa za usalama barabarani zilizotolewa kwa msaada na TPB kwenye mabasi ya abiria likiengelea.
Benki ya Posta Yakabidhi Stika za Usalama Barabarani *Imeandaliwa na www.thehabari.com

No comments:

Post a Comment