TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Wednesday, March 19, 2014

AMILIA YA MAREHEMU MZEE ARNOLD KAMBONAPANI NKHOMA YAENDESHA MISA MAALUM YA SHUKRANI JIJINI DAR

Mchungaji John Muhina wa kanisa Anglikana la Mtakatifu Andrea la Magomeni Mwembechai, akiendesha Ibada bya Misa maalum ya Shukrani kufuatia kifo cha Marehemu Mzee Arnold Kambonapani Nkhoma (100), aliyeaga dunia Ijumaa ya tarehe 17 January,2014 katika hospitali ya Mount Ukombozi na kupumzishwa katika nyumba yake ya milele tarehe 19 January, 2014 katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar.
DSC_0486
Familia ya Mzee Arnold Kambonapani Nkhoma ikishiriki misa maalum ya kutoa shukrani iliyofanyika mwishoni mwa Juma jijni Dar.
DSC_0491
DSC_0551Mchungaji John Muhina wa kanisa Anglikana la Mtakatifu Andrea la Magomeni Mwembechai akimrithisha kiti alichopenda kukaa marehemu wakati wa ibada za Jumapili kanisani hapo mmoja wa watoto wa Mzee Arnold Nkhoma Bw. Amos Nkhoma.
DSC_0554
Baadhi ya wajukuu na vitukuu wa Mzee Arnold Kambonapani Nkhoma, wakiwa kwenye misa maalum ya kutoa shukrani iliyofanyika jijini Dar.
DSC_0562
Familia ya Mzee Arnold Kambonapani Nkhoma ikitoka kanisani mara baada ya misa maalum.
DSC_0595Babu wakiwa na mmoja wa vitukuu wa Marehemu Mzee Arnold Nkhoma.
DSC_0607Michael Nkhoma, ndiyo mtoto mkubwa wa marehemu, akiongea na mdogo wake Amos Nkhoma. Kulia ni Aidan Nkhoma.
DSC_0626Bi. Usia Nkhoma Ledama akiwa kwenye picha ya kumbukumbu na baba yake mkubwa Michael Nkhoma,(kushoto) na Mzee Aidan Nkhoma.
DSC_0608Mama na Mwana wakijichukua taswira.
DSC_0642Familia ya Marehemu Mzee Arnold Kambonapani Nkhoma wakiwasha mishumaa kwenye kaburi la Mzee Arnold Nkhoma mara baada ya misa maalum ya shukrani iliyofanyika mwishoni mwa juma jijini Dar.
DSC_0664Mmoja wa vitukuu wa Marehemu Mzee Arnold Kambonapani Nkhoma akiweka shada la maua kwenye kaburi la babu yake.
Bwana Ametoa, Bwana Ametwaa, Jina lake lihimidiwe.AMEN.
DSC_0679Ndugu, jamaa na marafiki walipojumuika nyumbani kwa nyumbani kwa Profesa Alice Nkhoma Wamunza, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kwa ajili ya chakula cha mchana.
DSC_0750Profesa Alice Nkhoma Wamunza, akiongoza ndugu, jamaa na marafiki kwenye chakula mchana baada ya misa ya shukrani ya Marehemu Mzee Arnold Kambonapani Nkhoma.

No comments:

Post a Comment