TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Monday, March 17, 2014

WAZIRI MKUU MHE. MIZENGO PINDA AFUNGUA MRADI MKUBWA WA MAJI KIBAIGWA MKOANI DODOMA MACHI 17,2014

VIONGOZI wa serikali mkoa wa Dodoma wakiongozwa na mkuu wa mkoa huo, Dk Rehema Nchimbi wakiwa wamejipanga tayari kumpokea Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati wa kutembelea mradi wa visima virefu vya maji eneo la Kibaigwa, wilaya ya Kongwa, mkoani Dodoma.
Mradi huo wa maji una thamani ya zaidi ya shilling billion 2.3.
Ufunguzi wa mradi huo ni sehemu ya maadhimisho ya 26 ya Wiki ya Maji ambapo kitaifa yanafanyika Dodoma tarehe 16-22/03/2014.  Mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano, Dk Jakaya Kikwete. 
????????Waziri Mkuu Mizengo Pinda akisalimiana na Mkuu wa mkoa wa Dodoma, Dk Rehema Nchimbi mara baada ya kuwasili eneo la mradi wa visima vya maji, Kibaigwa.????????Injinia Emmanuel Mwakabole kutoka Mamlaka ya Maji Dodoma (DUWASA) akitoa maelezo ya mradi kwa waziri mkuu na kusema visima viwili vyenye kina cha meta 105 vina uwezo wa kuzalisha maji lita 90,000 kwa saa.????????Muonekano wa jengo lenye genereta ya akiba ya kuzalisha umeme endapo umeme wa gridi unakatika

No comments:

Post a Comment