TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Monday, March 17, 2014

JAJI JOSEPH SINDE WARIOBA KUWASILISHA RASIMU YA KATIBA LEO JUMANNE

Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba akiwa na Makamu wake Jaji Augustino Ramadhani baada ya kuwasili bungeni mjini Dodoma na muda mfupi kabla ya kuanza  kuwasilisha rasimu ya Katiba Mpya. 

 Baadhi ya wajumbe wa Bunge la Katiba  wakiwa wamesimama kupinga Jaji Joseph Warioba asiwasilishe rasimu ya katiba huku wakipiga kelele na kugomga meza.
 Baadhi ya wajumbe wa Bunge la Katiba  wakiwa wamesimama kupinga Jaji Joseph Warioba asiwasilishe rasimu ya katiba 

Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba akijiandaa kuwasilisha rasimu ya Katiba Mpya. Hata hivyo zoezi hilo liliahirishwa hadi kesho wakati baadhi ya wajumbe waliposimama na kutaka  baadhi ya kanuni walizojiwekea zifuatwe, baada ya kuonekana hazikufuatwa.
 Muafaka ulifikiwa baadaye na rasimu hiyo itawasilishwa kesho kwa Jaji Warioba kufanya hivyo kwa masaa manne badala ya moja ama mawili yaliyopendekezwa awali.  Habari kamili  zitawajia muda mfupi ujao...

No comments:

Post a Comment