TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Wednesday, March 19, 2014

WASHINDI SHINDANO LA SHINDA APPLE MIN IPAD CAMPAIGN LINALO ENDESHWA NA SMILE COMMUNICATIONS LTD WAPATIKANA

Mkuu wa Mauzo wa  Smile  Communications Tanzania, Linda Chiza (wa pili kulia), akimkabidhi simu aina ya Ipad, Wakili Onesmo Michael ambaye ni  mshindi wa wiki iliyopita katika  shindano la Shinda Apple Min Ipad campaign kutoka Smile   Communications Ltd Dar es Salaam leo. Wiki hii  washindi watatu wamejishindia simu hiyo.  Kushoto ni Meneja Masoko, Muffadal Essaji na Mkaguzi Mkuu wa Bodi ya Michezo ya Bahati Nasibu, Humudi Abduli.
PICHA NA MPIGA PICHA WETU
002 (5)Mkuu wa Mauzo wa  Smile  Communications Tanzania, Linda Chiza (katikati), akiwapigia simu washindi.003 (4)Mkuu wa Mauzo wa  Smile  Communications Tanzania, Linda Chiza (katikati), akichanganya karatasi ili kuwapata washindi.004 (3)Wafanyakazi wa Smile  Communications Tanzania wakiwa kwenye hafla hiyo ya kuwatangaza washindi wa Ipad.

No comments:

Post a Comment