TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Wednesday, March 19, 2014

OFISI YA RAIS MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA YAWAAGA WATAALAMU 6 WALIOMALIZA MUDA WA KUJITOLEA HAPA NCHINI

Katibu Mkuu Utumishi Bw. George D. Yambesi akimsikiliza Mwakilishi Mkazi wa JICA Tanzania Bw. Yasunori Onishi (kulia) akielezea kuhusu watalaam wa kujitolea kutoka nchini Japan  walivyofanya kazi hapa nchini katika hafla fupi ya kuwaaga wataalamu hao iliyofanyika ukumbi wa Utumishi mapema leo.???????????????????????????????DSC03155Mtaalamu wa Kujitolea katika fani ya Sayansi na Hesabu  kutoka Japan Bw. Tomotaka Tani akiwasilisha mada kuhusu uzoefu wake hapa nchini, katika hafla fupi ya kuwaaga wataalamu sita waliomaliza muda wao hapa nchini iliyofanyika ukumbi wa Utumishi mapema leo.???????????????????????????????Katibu Mkuu Utumishi Bw.George D. Yambesi (kushoto) akitoa zawadi kwa Mtaalamu wa kujitolea katika fani ya Sayansi na Hesabu kutoka Japan Bw.  Jun Tsuda (katikati) wakati wa hafla fupi ya kuwaaga wataalamu sita wa kujitolea kutoka nchini Japani iliyofanyika ukumbi wa Utumishi mapema leo.Kulia ni Mwakilishi Mkazi wa JICA Tanzanian Bw. Yasunori Onishi.???????????????????????????????Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. George D. Yambesi (kulia) akitoa ufafanuzi wa maswali kutoka kwa waandishi wa habari baada ya hafla fupi ya kuwaaga wataalamu wa kujitolea kutoka nchini Japan iliyofanyika ukumbi wa Utumishi mapema leo. Wengine ni baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma.???????????????????????????????Mtaalamu wa Kujitolea katika fani ya Sayansi na Hesabu  kutoka Japan Bw. Tomotaka Tani (kushoto) akijibu maswali ya Mwandishi wa Habari wa gazeti la  Daily News Bi. Hilda Mhagama baada ya hafla fupi ya kuwaaga wataalamu sita waliomaliza muda wao hapa nchini iliyofanyika ukumbi wa Utumishi mapema leo.

No comments:

Post a Comment