TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Wednesday, March 19, 2014

KANYE WEST AHUKUMIWA KIFUNGO CHA NJE CHA MIAKA MIWILI


Kanye West amepigana na waandishi wahabari pamoja na mapaparazi akijharibu kuzuia wasimpige picha yeye na mchumba wake Kim Kardashian hadharani wakati mahusiano yao yakiwa yamekolea mwaka jana.

Pia alimshambulia kijana mdogo aliyekuwa anamtania msichana wake kwa kumuita majina ya ajabu mbele yake. Yote tisa, kumi ni kile kibano alichompa mwandishi wa habari uwanja wa ndege alipowasili Los Angeles mwaka jana.

Kibano kile kimemsababishia afungwe kifungo cha nje cha miaka miwili na masaa 250 ya kutoa huduma kwa jamii. Hata hivyo Kanye hakupinga shitaka la kumvamia na kumpiga Daniel Ramos kutokana na kupimga picha ya video katika kesi hiyo.
Alimshambulia Ramos na kumpiga katika uwanja wa ndege wa LAX mwezi agosti mwaka jana sababu paparazzi huyo alikuwa anampiga picha.
Zaidi ya hilo Kanye pia ametakiwa kuhudhuria vipindi 24 vya tiba ya hasira (anger management sessions), pamoja na miaka 2 ya huduma kwa jamii. Anatakiwa kujipeleka mwenyewe polisi ili apangiwe utaratibu, 

No comments:

Post a Comment