TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Tuesday, March 4, 2014

BASI LA SAIBABA LAPATA AJALI LIKITOKA SONGEA KUELEKEA DAR ES SALAAM


Picha zikionesha basi la kampuni ya Saibaba Express linalofanya safari zake kati ya dar - Songea likiwa limeacha barabara na kuparamia mti uliopo pembeni mwa barabara eneo la Kidegebasi IRINGA, barabara ya Iringa Mbeya
Haikufahamika maramoja chanzo cha ajali hiyo, na kama kuna majeruhi ama la, lakini mwandishi wetu ameshuhudia polisi pamoja na abiria wakiwa eneo la tukio kuona namna ya kufanya
Basi hilo lilikuwa likitoka Songea kuelekea dar es Salaam, na imetokea majira ya saa nne asubuhi

No comments:

Post a Comment