TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Saturday, March 8, 2014

KITWANA MANARA `POPAT` AZUNGUMZA WA YANGA NAYUSUPH MANJI

4 (1) 
Kitwana Manara `Popat` (kushoto) akisalimiana na mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji (kulia)

Mchezaji wa zamani wa Yanga na Taifa Stars, Kitwana Manara amesema Yanga watakiwa kuingia uwanjani katika mchezo wa jumapili ligi ya mabingwa barani Afrika dhidi ya Al Ahly ya Misri kama walifungwa mchezo wa kwanza.
 
Amewaasa wachezaji kujituma na kutotumia mfumo wa kujilinda kwani kufanya hivyo watakaribisha mashambulizi zaidi langoni mwao.
Enzi zake, `Popat` alikuwa anacheza kwa ustadi mkubwa nafasi ya mlinda mlango na mshambuliaji wa kati (namba 9).
 
Kali zaidi alisema kuna wakati alikuwa anacheza nafasi ya kipa akiwa na timu ya Taifa, lakini kwenye klabu yake alikuwa akitumika kama mshambuliaji.

No comments:

Post a Comment