TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Monday, March 3, 2014

YANGA YAWAPAFUNZO AHLY YAKIONA CHA MOTO!!

ruvushootingMchezo wa kuwania kuingia hatua ya 16 bora wa Mashindano ya Klabu Bingwa Barani Afrika kati ya wenyeji timu ya Young Africans dhidi ya timu ya National Al Ahly uliofanyika katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam huku  tiketi za mchezo huo zikinunuliwa kwa wingi na wapenzi wa soka kwa ujumla.
Young Africans ambao ndio wawakilishi pekee wa mashindano ya kimataifa nchini Tanzania kawa sasa walishuka dimbani kwa lengo moja tu la kuhakikisha historia inaandikwa kwa kuvunja mwiko dhidi ya Waarabu na kuibuka na ushindi katika mchezo huo.
Kikosi cha Mholanzi Hans Van de Pluijm baada ya kujifua na mazoezi asubuhi na jioni katika Uwanja wa Boko Beach kujiandaa na mchezo huku morali ya wachezaji ikiwa i ya hali ya juu, saikolojia na kimwili wakiwa tayari kwa mechi walifanikiwa kuibuka na ushindi wa 1-0.

National Al Ahly ambao waliwasili jumatano asubuhi  majira ya saa 10:00 jioni walifanya mazoezi katika Uwanja wa Taifa tayari kwa kuuzoea kwa mchezo  kufuatia kufanya mazoezi kwa siku mbili katika shule ya IST Upanga.

No comments:

Post a Comment