TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Saturday, March 8, 2014

Dkt Fenella aadhimisha siku ya wanawake dunia kwa kushiriki bonanza la mpira kikapu!!

DUCE 1 Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akizungumza na wanawake mbalimbali (hawapo pichani) wakati wa ufunguzi wa Bonanza la Mpira wa Kikapu lililoandandiliwa na Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tanzania (TBF) leo jijini Dar es Salaam katika viwanja vya DUCE. Kushoto ni Mkuu wa Kitivo cha Sayansi chuoni hapo Dkt. Constansia Rugumamu na kuli ni Kamishina wa wanawake TBF Bi. Angella Grolia Bondo.DUCE 2 Kamishina wa wanawake TBF Bi. Angella Grolia Bondo akitoa maelezo kuhusu Bonanza la Mpira wa Kikapu lwaliloandaa kwa ajili ya kuadhimisha siku ya wanawake dunia,Mwenye koti jeupe ni jijini Dar es Salaam katika viwanja vya DUCE. Kushoto ni Mkuu wa Kitivo cha Sayansi chuoni hapo Dkt. Constansia Rugumamu na kulia ni Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara ambaye ndiye alikuwa mgeni rasmi katika bonanza hilo.DUCE 4 Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara (kushoto)akifurahia zawadi ya picha yake ambayo imetolewa na Mwenyekiti wa Baraza la Miochezo la Taifa Bw. Dioniz Malinzi (hayupo pichani) na kukabidhiwa kwa niaba yake na Kamishina wa wanawake TBF Bi. Angella Grolia Bondo leo jijini Dar es Salaam.DUCE 6 Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara uwanjani tayari kwa kuzindua rasmi bonanza hiloDUCE 7 Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara kwa makini maelezo kuhusu huduma za NSSF (ambao ndiyo wadhamini wa bonanza hilo)kutoka kwa Afisa Uhusiano wa shirika hilo Bi. Maife Kapinga mara baada ya kuwasili uwanjani tayari kwa kufungua bonanza leo jijini Dar es Salaam.. NSSF ndiyo wadhamini wakuu wa bonanza hiloDUCE 8 Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akikagua wachezaji wa timu ya Don Bosco Lioness kabla ya mchezo wao kuanza. Mechi ya ufunguzi wa bonanza ilikuwa kati ya Jeshi Star na Don Bosco Lioness ambapo hadi mchezo unamalizika Don Bosco Lioness waliibuka kidedea kwa jumla ya Vikapu 23 dhidi ya 19 vya Jeshi Star.DUCE 10Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akipiga shot kuashiria ufunguzi rasmi wa bonanza hilo 
Picha zote na Frank Shija – WHVUM

No comments:

Post a Comment