TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Tuesday, March 4, 2014

Waziri Mkuu awataka wajumbe wa bunge la katiba kuwa na staha na matumizi ya lugha sahihi

IMG_3007Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Pinda akiongea na wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba na kuwataka kuzingatia maadili na lugha fasaha katika kikao hichi ili kufikia lengo linalotazamiwa kwa maslahi ya Taifa.Wakati wa semina ya kuunda kanuni zitakazotumika katika vikao vya Bunge Maalum la Katiba leo Mjini Dodoma. IMG_3014Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Pinda akiteta jambo na Makamu wa Pili wa Rais, Zanzibar Balozi Seif Ally Iddi(Kushoto) leo mjini Dodoma. IMG_3059Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Vuai ally Vuai akiongea leo katika semina ya kuunda kanuni zitakazotumika katika vikao vya Bunge Maalum la Katiba na kuwataka wajumbe kufuata yale aliyoyasema Waziri Mkuu ya kuzingatia Staha ya Lugha katika Vikao vya Bunge Maalum la katiba leo Mjini Dodoma. IMG_3099Baadhi ya wa Bunge Maalum la Katiba waliohudhuria katika semina ya kuunda kanuni zitakazotumika katika vikao vya Bunge Maalum la Katiba leo Mjini Dodoma.(PICHA NA HASSAN SILAYO- MAELEZO).

No comments:

Post a Comment