TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Tuesday, October 28, 2014

AJALI MBAYA YATOKEA YOMBO VITUKA MWISHO WA LAMI

Gari aina ya Hiace ambayo ni daladala yenye namba za usajili T769 AFP imedondokewa na Kontena ambalo lilikuwa limebebwa kwenye lori huko Yombo Vituka Mwisho wa Lami, Ajali hii imetokea jana na kupelekea hofu ya kupoteza abiria wote waliokuwamo katika Daladala hiyo .

Ripota wetu anaendelea kutafuta habari kutoka eneo hilo la tukio.Picha na Mdau wa Lukaza Blog  Samora Julius

No comments:

Post a Comment