TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Monday, October 27, 2014

BONDIA SAIDI MBELWA APIGA GEORGE DIMOSO KWA POINTI

Bondia Georger Dimoso kushoto akipambana na Said Mbelwa wakati wa mpambano wao uliofanyika jumamosi iliyopita Mbelwa alishinda kwa pointi katika  mpambano huo wa raundi nane
Bondia Said Mbelwa kushoto akioneshana umwamba na George Dimoso wakati wa mpambano wao uliofanyika jumamosi iliyopita ambapo  Mbelwa alishinda kwa pointi
  Mashabiki wa mchezo wa masumbwi wakifatilia kwa makini mchezo huo
Bondia Said Mbelwa akinyanyuliwa mkono juu kuashilia ushindi wa mpambano huo
Bondia Aman Bariko ‘Manny Chuga’ akioneshana umwamba na Ally Bugingo wakati wa mpambano wao Bariki alishinda kwa pointi
Bondia Zamoyoni Mbishi kushoto akipambana na Sadiq Nuru wakati wa mpambano wao uliofanyika jumamosi Mbishi alishinda kwa pointi
Bondia Hassan Mandula kulia akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Mohamed Jaka Mandula alishinda kwa TKO ya raundi ya pili

No comments:

Post a Comment