Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akiwasili nchini leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu
Julius K. Nyerere ulioko jijini Dar es Salaam mara baada ya kumaliza
ziara yake ya kikazi nchini China na Vietnam.

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akizungumza na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange
(kushoto) leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius K.
Nyerere pamoja na baadhi ya viongozi wengine
No comments:
Post a Comment