TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Wednesday, October 29, 2014

SHIRIKA LA POSTA LAELEZEA MAFANIKIO YA TEKNOHAMA

01Meneja Mkuu Uendeshaji Biashara kutoka Shirika la Posta Tanzania Bw. Fortunatus Kapinga akiwaeleza waandishi wa habari (hawapo pichani) jana jijini Dar es salaam kuhusu mafanikio ya shirika hilo ikiwemo matumizi ya TEHAMA katika utoaji wa huduma za shirika hilo hali ambayo imeongeza tija. Kulia ni Meneja barua Bi Fadya Zam.
02Meneja Mkuu Uendeshaji Biashara kutoka Shirika la Posta Tanzania Bw. Fortunatus Kapinga akiwaeleza waandishi wa hababari (hawapo pichani) kuhusu utaratibu wa Shirika hilo kutoa mafunzo kwa njia ya mtandao kupitia vituo vya Mawasiliano ya jamii (Community Information Centres) ambapo huduma hiyo kwa sasa inatolewa katika Ofisi za Zanzibar, Arusha, Bagamoyo, Mwanza na Mbeya. Kushoto ni Meneja Mifumo ya Mawasiliano Bw. David Mtake na mwisho ni Meneja Masoko Bw. David George.
(Picha na Frank Mvungi-MAELEZO)

No comments:

Post a Comment