TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Wednesday, October 29, 2014

Ziara ya Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira katika Migodi

20141028_153149Kutoka kulia, Mh. James Lembeli Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira akitoa maagizo kwa wataalamu wa mgodi wa Geita (hawapo pichani) juu ya Hifadhi endelevu ya Mazingira kwa mujibu wa Sheria. Wapili kulia ni Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Mh. Ummy Mwalimu na wengine ni wajumbe wa Kamati hiyo.20141028_152657Sehemu ya Mabwawa yanayotumika katika shughuli za uzalishaji katika Mgodi wa Geita
20141028_153108Mtaalamu kutoka Mgodi wa Geita akitoa ufafanuzi kwa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira juu ya utekelezaji wa sheria ya Mazingira katika mgodi huo. Wengine katika picha ni wajumbe wa Kamati hiyo.
 20141028_164307Katika jitihada za kuhifadhi mazingira katika Mgodi wa Geita, pichani ni eneo maalumu lililotengwa kwa ajili ya utupaji wa taka zinazoharibika.

No comments:

Post a Comment