Wanafamilia
pamoja na Waandishi wa Habari mbalimbali wakibeba jeneza la aliekuwa
mpiga Picha wa Idara ya Habarí Maelezo Zanzibar Marehemu Hamad Hija
aliefariki leo Hospitali kuu ya Mnazi Mmoja Zanzí
(PICHA KWA HISANI YA MAELEZO ZANZIBAR)
(PICHA KWA HISANI YA MAELEZO ZANZIBAR)
Wanafamilia
pamoja na Waandishi wa Habari mbalimbali wakimsalia aliekuwa mpiga Picha
wa Idara ya Habarí Maelezo Zanzibar Marehemu Hamad Hija aliefariki leo
Hospitali kuu ya Mnazi Mmoja Zanzíbar.
Wanafamilia
pamoja na Waandishi wa Habari mbalimbali wakibeba jeneza la aliekuwa
mpiga Picha wa Idara ya Habarí Maelezo Zanzibar Marehemu Hamad Hija
aliefariki leo Hospitali kuu ya Mnazi Mmoja Zanzíbar
Wanafamilia pamoja na Waandishi wa Habari mbalimbali wakiwa katika mazishi ya aliekuwa
mpiga Picha wa Idara ya Habarí Maelezo Zanzibar Marehemu Hamad Hija
aliefariki leo Hospitali kuu ya Mnazi Mmoja Zanzíbar
No comments:
Post a Comment