Meneja Mawasiliano wa
Vodacom Tanzania Rukia Mtingwa akimkabidhi rambirambi ya kiasi cha shilingi
1M/-mjumbe wa kamati ya utendaji na Makamu mwenyekiti wa kamati ya fedha wa
klabu ya Simba Bw.Saidi Pamba,anaeshuhudia katikati ni Afisa Udhamini wa
Vodacom Tanzania Ibrahim Kaude.
Msemaji wa Klabu ya Simba
Ezekiel Kamwaga(kushoto)akisalimiana na Meneja Mawasiliano wa Vodacom Tanzania
Rukia Mtingwa wakati walipofika katika viwanja vya TCC kuuaga mwili wa aliekuwa
mchezaji wa klabu hiyo marehemu Patrick Mafisango na kutoa mkono wa pole wa
kiasi cha shilingili 1M/-kulia ni Afisa Udhamini wa Vodacom Tanzania Ibrahim
Kaude.
Meneja
Mawasiliano wa
Vodacom Tanzania Rukia Mtingwa akitoa heshima za zake za mwisho kwa
mwili wa marehemu Patrick Mafisango aliyekuwa mchezaji wa timu ya Simba
leo kwenye viwanja wa TCC Chang'ombe jijini Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment